ARTIST SIGNIN

Ndoto Ya Mchana by Leteipa The King from Nairobi Kenya

Verse 1 niliskia tufununu, kwamba ulipata mwingine, anayekupenda zaidi ya mimi, mtafunga ndoa pengine, yetu ilikuwa shadow, mapenzi yenu yamekolea, lazima huwa anakupa, vitu sikuwa nakupea, ndoto zako zote, ulizoniambia, naona kama kweli sasa zinatimia, na sina chochote, cha uambia, ila...
CONNECT